Daniel 8:18

18 aAlipokuwa akinena nami, nilikuwa katika usingizi mzito, huku nimelala kifudifudi. Ndipo aliponigusa na kunisimamisha wima.

Copyright information for SwhNEN